Home » Lugha Ya Kiswahili Iwe Na Maneno Yenye Asili Ya Kibantu Peke Yake by John Ambuli
Lugha Ya Kiswahili Iwe Na Maneno Yenye Asili Ya Kibantu Peke Yake John Ambuli

Lugha Ya Kiswahili Iwe Na Maneno Yenye Asili Ya Kibantu Peke Yake

John Ambuli

Published September 9th 2014
ISBN :
ebook
Enter the sum

 About the Book 

Wataalam wa lugha hii wamekua wakitushauri kwamba lugha haijitoshelezi kwa maneno .Yaani haina maneno yake maalum.Lugha hii ilisanya maneno kutoka lugha mbali mbali ndipo ikaweza kutambulika.Sasa,mbona Waswahili wasijitungie lugha wenyewe ili ipateMoreWataalam wa lugha hii wamekua wakitushauri kwamba lugha haijitoshelezi kwa maneno .Yaani haina maneno yake maalum.Lugha hii ilisanya maneno kutoka lugha mbali mbali ndipo ikaweza kutambulika.Sasa,mbona Waswahili wasijitungie lugha wenyewe ili ipate kujitoseleza.Ndio yaliyomo kwenye kitabu hiki.